Bertrand Russell
From Wikipedia
Bertrand Russell (18 Mei, 1872 – 2 Februari, 1970) alikuwa mwanafalsafa kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika kuhusu mantiki ya hisabati. Pia alifanya makampeni kwa ajili ya amani ya mataifa. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.