Peru
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Firme y Feliz Por La Unión" (Imara na furahifu kwa umoja) | |||||
Wimbo wa taifa: Somos libres, seámoslo siempre "Tuko huru tukae hivyo" |
|||||
Mji mkuu | Lima |
||||
Mji mkubwa nchini | Lima | ||||
Lugha rasmi | Kihispania Kiquechua 1 | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Alan García Pérez Jorge del Castillo |
||||
Uhuru ilitangazwa |
28 Julai 1821 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,285,216 km² (ya 20) 8.80% |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
27,968,000 (ya 41) 27,219,266 22/km² (ya 183) |
||||
Fedha | Nuevo Sol (PEN ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .pe | ||||
Kodi ya simu | +51 |
||||
1.) Kiquechua, Kiaymara na lugha za eneo ni lugha rasmi kama ni lugha ya watu wengi wa eneo. |
Peru ni nchi ya Amerika Kusini upande wa magharibi ya bara. Imepakana na Ekuador, Kolombia, Brazil, Bolivia na Chile. Kuna mwambao wa Pasifiki.
Peru ilikuwa koloni ya Hispania kati ya 1532 hadi 1821. Kabla ya kuja kwa Wahispania ilikuwa kitovu cha Dola la Inka. Hadi leo kuna idadi kubwa ya Waindio wanaotunza lugha na utamaduni wao.
Makala hiyo kuhusu "Peru" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Peru kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |