Malaysia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Bersekutu Bertambah Mutu ("Umoja ni nguvu") |
|||||
Wimbo wa taifa: "Negaraku" | |||||
Mji mkuu | Kuala Lumpur1 |
||||
Mji mkubwa nchini | Kuala Lumpur | ||||
Lugha rasmi | Kimalay | ||||
Serikali
Yang di-Pertuan Agong (Mtawala Mkuu)
Waziri Mkuu |
Shirikisho, Ufalme Sultan Mizan Zainal Abidin Abdullah Ahmad Badawi |
||||
Uhuru kutoka Uingereza (Shirikisho la Kimalay pekee) Shirikisho (na Sabah, Sarawak na Singapore2) |
31 Agosti 1957 16 September 1963 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
329,847 km² (ya 67) 0.3 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
26,888,000 (ya 44) 23,953,136 82/km² (ya 115) |
||||
Fedha | Ringgit (RM) (MYR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MST (UTC+8) -- (UTC+8) |
||||
Intaneti TLD | .my | ||||
Kodi ya simu | +60 |
||||
1 Putrajaya ni makao makuu ya serikali 2 Singapore ilikuwa nchi ya pekee tar. 9 Agosti 1965. |
Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando la Bahari ya Kusini ya China. Kuna sehemu mbili ambazo ni
- Malaysia Bara au Malaysia Magharibi kwenye Rasi ya Malay
- Malaysia Kisiwani au Malaysia ya Mashariki kwenye kisiwa cha Borneo.
Upande wa rasi Malaysia imepakana na Uthai na Singapore. Sehemu ya Borneo imepakana na Brunei na Indonesia.
Kisiasa Malaysia ni shirikisho ya majimbo 13. Nchi ilianzishwa mwaka 1963 wakati Shirikisho ya Kimalay (Kimalay: Persekutuan Tanah Melayu) liliungana na Singapur, Sabah na Sarawak. Singapur iliondoka 1965 ikawa nchi ya pekee.
[edit] Majimbo ya Shirikisho
Malaysia ni Shirikisho la Kifalme. Tisa kati ya majimbo yake 13 ni sultani chini ya utaratibu wa kifalme na manne hufuata muundo wa jamhuri.
Majimbo ya shrikisho ni kama yafuatayo.
Tisa sultani zinazoongozwa na Sultani pamoja na waziri mkuu anayechaguliwa na bunge la jimbo:
- Johor,
- Kedah,
- Kelantan,
- Negeri Sembilan,
- Pahang,
- Perak,
- Perlis,
- Selangor
- Terengganu
Majimbo manne chini ya gavana anayeteuliwa na serikali kuu na waziri mkuu anayechaguliwa na bunge la jimbo:
- Malacca and
- Penang
- Sabah (Borneo)
- Sarawak (Borneo)
Maeneo matatu ya shirikisho:
- Putrajaya and
- Kuala Lumpur
- Labuan.
[edit] Viungo vya Nje
- Malaysian Government Portal
- Malaysian maps
- Malaysia Travel Guide - Most comprehensive travel guide to Malaysia attractions
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hiyo kuhusu "Malaysia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Malaysia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |