Uranus
From Wikipedia
Uranus ni sayari ya saba kutoka jua letu. Ni sayari kubwa ya tatu ya mfumo wa jua hata kama mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara 14 ya dunia hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake.
Ina miezi 27. Miezi mikubwa huitwa Miranda, Ariel, Umbriel, Titania na Oberon.
[edit] Tazama pia
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Uranus" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uranus kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Mfumo wa jua na sayari zake |
---|
Jua - Utaridi - Zuhura - Dunia (Mwezi) - Meriki - Mshtarii - Zohari - Uranus - Neptun |