Eire
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: Amhrán na bhFiann "Wimbo wa Askari" |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Dublin |
||||
Mji mkubwa nchini | Dublin | ||||
Lugha rasmi | Kieire, Kiingereza | ||||
Serikali
Rais
Taoiseach |
Jamhuri Mary McAleese Bertie Ahern, TD |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa Katiba |
24 Aprili 1916 6 Desemba 1922 29 Desemba 1937 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
70,273 km² (ya 120) 2.00 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
4,234,925 (ya 121) 60.3/km² (ya 139) |
||||
Fedha | Euro (€)1 (EUR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
WET (UTC+0) IST (WEST) (UTC+1) |
||||
Intaneti TLD | .ie2 | ||||
Kodi ya simu | +353 |
||||
1 kabla ya 1999: Irish pound. 2 kuna pia anwani za .eu (Umoja wa Ulaya) |
Eire (pia: Ireland, Ayalandi) ni nchi ya kisiwani katika funguvisiwa ya Britania ya Ulaya.
Kaskazini ya kisiwa ni sehemu ya Ufalme wa Maungano (Uingereza). Mji mkuu ni Dublin. Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kiingereza lakini lugha ya Kieire ni lugha ya kwanza ya taifa. Kinazungumzwa katika maeneo kadhaa ya vijijini na hufundishwa shuleni.
Eire ilitawaliwa na Uingereza hadi 1922.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Eire" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Eire kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Ulaya | |||||
---|---|---|---|---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro
|
Categories: Mbegu | Eire | Nchi za Ulaya