Jan Mayen
From Wikipedia
Jan Mayen ni kisiwa cha Norwei katika eneo inapokutana Bahari ya Aktika na Atlantiki ya Kaskazini chenye eno la 373 km². Ureu ni km 52. Kisiwa kipo katikati ya Norwei, Isilandi na Greenland.
Hakuna wakazi wa kudumu isipokuwa wafanyakazi 14 wa vituo viwili vya serikali ya Norwei. Moja ni kituo cha redio kinachohudumia usafiri kwa ndege katika sehemu hii ya dunia. Nyingine ni kituo cha wataalamu wanaopima hali ya hewa.
Jan Mayen iliztangazwa kuwa sehemu ya Norwei 27 Februari 1930. Kiutawala iko chini ya gavana wa Spitzbergen.
[edit] Viungo vya Nje
- Satellite Radar image of Jan Mayen
- Photographs and information on Jan Mayen
- Jan Mayen crew
- LORAN-C mast Jan Mayen
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |