Kazakhstan
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Kazakhstan yangu | |||||
Mji mkuu | Astana |
||||
Mji mkubwa nchini | Almaty | ||||
Lugha rasmi | Kikazakh, Kirusi | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Nursultan Nazarbayev Daniyal Akhmetov |
||||
Uhuru Ilitangazwa ilikamilika |
16 Desemba 1991 25 Desemba 1991 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,724,900 km² (ya 9) 1.7 |
||||
Idadi ya watu - Januari 2006 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
15,217,700[1] (ya 62) 14,953,100 5.4/km² (ya 215) |
||||
Fedha | Tenge ya Kazakhstan (KZT ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5 to +6) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .kz | ||||
Kodi ya simu | +7 |
Kazakhstan (pia: Kazakistan) ni nchi katika Asia ya Kati. Imepakana na Urusi, China, Kyrgyzstan, Uzbekistan na Turkmenistan.
Mji mkuu ni Astana; Almaty ilishika nafasi hii hadi 1996.
Hadi mwaka 1991 ilikuwa semu ya Umoja wa Kisovyet. Ilijulikana kwa jina la "Jamhuri ya Kisovyeti ya Kikazakh" hadi 1991.
[edit] Jiografia
Kazakhstan ina eneo la 2,717,300 km² ni nchi kubwa ya tisa ya dunia. Upande wa magharibi inaanza katika tambarare za mto Volga pamoja na Bahari ya Kaspi na kuelekea hadi milima ya Altai upande wa China. Kusini iko milima ya Tienshan yenye kimo cha 7,000 m na ziwa Aral. Upande wa kaskazini hakuna mpaka asilia na Siberia.
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |