Visiwa vya Faroe
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: Tú alfagra land mítt "We nchi yangu nzuri" |
|||||
Mji mkuu | Tórshavn |
||||
Mji mkubwa nchini | Torshavn | ||||
Lugha rasmi | Kifaroe, Kidenmark | ||||
Serikali | demokrasia, ufalme wa kikatiba Malkia Margrethe II wa Denmark Jóannes Eidesgaard |
||||
Jimbo la nje la Denmark Madaraka ya kujitawala |
1948 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,399 km² (ya 180) 0.5 |
||||
Idadi ya watu - Desemba 2006 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
48,317 (ya 214) 48,470 34/km² (ya 169) |
||||
Fedha | Krona ya Faroe2 (DKK ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC) EST (UTC+1) |
||||
Intaneti TLD | .fo | ||||
Kodi ya simu | +298 |
Visiwa vya Faroe (Kifaroe: Føroyar - "Visiwa vya kondoo") ni funguvisiwa ya Atlantiki ya Kaskazini kati ya Iceland, Uskoti na Norwei na jimbo la nje la ufalme wa Denmark lenye madaraka ya pekee ya kujitawala.
Visiwa vinaendesha shughuli zao isipokuwa siasa ya nje, jeshi na mambo ya mahakama ni chini ya serikali kuu. Faroe viliamua kutoingia katika Umoja wa Ulaya pamoja na Denmark. Hali ya kisiasa ndani ya Denmark inalingana na Greenland ambayo pia ni jimbo la nje la Denmark linalojitawala kwa kiwango kikubwa. Visiwa vya Faroe vimeunda umoja wa forodha pamoja na Iceland.
Hadi 1814 visiwa vilikuwa chini ya Norwei.
Biashara ya visiwa imetegemea hasa uvuwi.
Lugha rasmi ni Kifaroe lugha ya Kigermaniki ya Kaskazini karibu na Kiiceland.
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |