Iraq
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Kiarabu: الله أكبر (Allahu Akbar) (Translation: "Mungu ni mkubwa") |
|||||
Wimbo wa taifa: Mawtini (new); Ardh Alforatain (previous)Template:Ref |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | BaghdadTemplate:Ref |
||||
Mji mkubwa nchini | Baghdad | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu, KikurdiTemplate:Ref | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Jalal Talabani Nouri al-Maliki |
||||
Uhuru kutoka Dola la Uturuki kutoka Uingereza |
31 Oktoba 1919 3 Oktoba 1932 28 Juni 2004 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
438,317 km² (ya 58) 1.1 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
28,807,000 (ya 40) 66/km² (ya 125) |
||||
Fedha | Iraqi Dinar (IQD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC+4) |
||||
Intaneti TLD | .iq | ||||
Kodi ya simu | +964 |
||||
1 Wakurdi hutumiaEy Reqîb. 2 Arbil ni mju mkuu wa jimbo la kujitawala la Kurdistan. 3 Lugha rasmi za serikali kitaifa ni Kiarabu na Kikurdi. Kikurdi ni lugha rasmi ya jimbo la Kurdistan. Kikatiba lugha za Kiassiryani na Kiturkmeni ni lugha rasmi kieneo penye wasemaji wengi wa lugha hizi. |
Iraq ni nchi ya Asia ya Magharibi inayokaliwa hasa na Waarabu lakini pia n wengine. Inajumlisha eneo al Mesopotamia pamoja na sehemu ya jangwa la Shamu na ya milima ya Zagros. Imepakana na Kuwait, Saudia, Yordani, Syria, Uturuki na Uajemi. Kuna pwani fupi kwenye Ghuba ya Uajemi.
Iraq ni nchi yenye historia ndefu ilikuwa mahali pa miji ya kwanza ya dunia katika Sumeri na Babeli. Miaka ya nyuma imejulikana hasa kutokana na vita ya ghuba dhidi Marekani na nchi wenzake.
[edit] Jiografia
Sehemu kubwa ya Iraq ni jangwa lakini kuna eneo lenye rutba la Mesopotamia kati ya mito ya Frati na Hidekeli. Kaskazini ni hasa nchi ya milima inayopanda hadi ya kimo cha 3,611 m juu ya UB.
Hali ya hewa inalingana na mazingira. Kipindi cha kiangazi kuna joto kali. Majira ya Desemba-Februari kuna halijoto ya kupoa kwenye kusini na baridi kali mlimani.
[edit] Uchumi
Iraq ina akiba kubwa za mafuta ya petroli ardhini. Mapato kutokana na mafuta yalileta maendeleo yakubwa nchini hadi mwanzo wa kipindi cha vita chini ya serikali ya Saddam Hussein tangu 1981 kwanza dhidi Uajemi, baadaye dhidi ya Kuwait na Marekani. Vita hizi zimeharibu nchi sana.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Iraq" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Iraq kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |