Ernest Hemingway
From Wikipedia
Ernest Miller Hemingway (21 Julai, 1899 – 2 Julai, 1961) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Mzee na Bahari" (kwa Kiingereza The Old Man and the Sea) iliyotolewa mwaka wa 1952. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Alikufa aliposafisha bunduki yake. Watu wanaendelea kujadili kama alijiua au kufa kwa ajali.