Ukimwi
From Wikipedia
Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) ni ugonjwa unaotokana na virusi vinavyoshambulia mwili kwa kuondoa nguvu za mwili kupambana na magonjwa. Ugonjwa huu umeua watu zaidi ya milioni 25 hasa wanaoishi Kusini mwa Afrika kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani. Kwa mwaka 2005 pekee watu milioni 3.1 wamefariki na 570,000 kati ya hao ni watoto. Ukimwi hadi hivi sasa hauna dawa.
Tarehe kwanza mwezi kumi na mbili kila mwaka ni siku ya Ukimwi duniani.
[edit] Viungo vya nje
Makala hiyo kuhusu "Ukimwi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ukimwi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Ukimwi | Magonjwa