Uskoti
From Wikipedia
|
|||||
Wito: Nemo me impune lacessit (Kilatini: Hakuna anayenichokoza bila adhabu) |
|||||
![]()
|
|||||
![]() Uskoti (kijani cheusi) katika kisiwa cha Britania (Uingereza) |
|||||
Lugha | Kiingereza, Kigaeli, Kiskoti | ||||
Mji mkuu | Edinburgh | ||||
Mji mkubwa | Glasgow | ||||
Waziri Mkuu | Jack McConnell | ||||
Eneo - Total - % water |
78,782 km² 1.9% |
||||
Wakazi - Jumla (2001) - msongamano |
5,062,011 64/km² |
||||
GDP (PPP) • Total • Per capita |
2002 est. $130 Billioni $25,546 |
||||
Pesa | Pound sterling (£) (GBP) | ||||
Time zone - Summer (DST) |
GMT (UTC+0) BST (UTC+1) |
||||
Internet TLD | .uk | ||||
Calling Code | 44 |
Uskoti ni nchi katika Ulaya. Iko kwa kaskazini ya kisiwa cha Britania Kuu ikiwa ni sehemu ya Maungano ya Ufalme wa Uingereza.
Contents |
[edit] Historia
Kihistoria Uskoti iliwahi kuwa nchi ya pekee ikaunganishwa chini ya Ufalme wa Uingereza tangu mwaka 1603 BK, tangu 1707 Uskoti haukuwa tena na bunge la pekee lakini ulikuwa na wawakilishi katika bunge la London. Bunge la Uskoti lilirudishwa tena mwaka 1999 linalosimamia mambo ya ndani.
[edit] Jiografia
Uskoti ni theluthi ya kaskazini ya kisiwa cha Britania. Eneo lake ni 78,772 km². Upande wa kusini Uskoti imepakana na Uingereza mwenyewe. Upande wa mashariki kuna Bahari ya Kaskazini, upande wa kazkazini na magharibi Atlantiki pamoja na bahari ya Eire.
Pamoja na bara Uskoti ina visiwa 790.
Ndani ya nchi kuna kanda tatu:
- Nyanda za Juu
- tambarare za chini
- vilima vya Kusini
Mlima mkubwa wa Uskoti ni Mlima Nevis karibu na Fort William mwenye kimo cha 1,344 m.
Upande wa magharibi wa Uskoti bara iko funguvisiwa ya Hebridi. Upande wa kaskazini kuna visiwa vya Orkney na vya Shetland.
[edit] Miji kumi mikubwa ya Uskoti
Mji | Wakazi 5 Aprili 1991 |
Wakazi 29 Aprili 2001 |
---|---|---|
Glasgow (Glaschu) | 658.379 | 629.501 |
Edinburgh (Dùn Èideann) | 400.632 | 430.082 |
Aberdeen (Obar Dhèathain) | 182.133 | 184.788 |
Dundee (Dùn Dè, Dùn Dèagh) | 157.808 | 154.674 |
Paisley (Paislig) | 73.925 | 74.170 |
East Kilbride (Cille Bhrìghde an Ear) | 70.579 | 73.796 |
Hamilton (Hamaltan) | 49.988 | 48.546 |
Cumbernauld (Comainn nan Allt) | 49.507 | 49.664 |
Greenock (Grianaig) | 49.267 | 45.467 |
Ayr (Àir) | 47.962 | 46.431 |
[edit] Viungo vya Nje
- Maps and digital collections at the National Library of Scotland
- The Gazetteer for Scotland - Extensive guide to the places and people of Scotland, by the Royal Scottish Geographical Society and University of Edinburgh
- SiliconGlen, Scotland - site hosting the first online guide to Scotland and the soc.culture.scottish FAQ.
- (PDF file) Scottish economic statistics 2005 - from the Scottish Executive
- Scottish Census Results On Line - official government site for Scotland's census results
- Scottish Executive - official site of the Scottish Executive
- Scottish Parliament - official site of the Scottish Parliament
- Scottish Tourist Board - official site of Scotland's national tourist board, VisitScotland
- Scottish news, travel and history - from BBC Scotland
- Scottish Neighbourhood Statistics - Scottish Executive's programme of small area statistics in Scotland
[edit] Picha za Uskoti
Ukuta wa Hadrian ni mpaka wa kale kati ya eneo la Dola la Roma kusini na maeeno huru ya Uskoti kaskazini wakati wa karne ya 2 BK]]. |
|||
Boma mjini Edinburgh. |
|||