Uajemi
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Persian: Esteqlāl, āzādī, jomhūrī-ye eslāmī ("Uhuru, Huria, Jamhuri ya Kiislamu") |
|||||
Wimbo wa taifa: Sorūd-e Mellī-e Īrān | |||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Tehran |
||||
Mji mkubwa nchini | Tehran | ||||
Lugha rasmi | Kiajemi (Farsi) | ||||
Serikali
Kiongozi Mkuu
Rais |
Jamhuri ya Kiislamu Ali Khamenei Mahmoud Ahmadi-Nejad |
||||
Mapinduzi imetangazwa |
11 Februari 1979 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,648,195 km² (ya 18) 0.7% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1996 sensa - Msongamano wa watu |
68,467,413 [1] (ya 18) 60,055,488 [2] 42/km² (ya 158) |
||||
Fedha | Rial (ريال) (IRR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3.30) not observed (UTC+3.30) |
||||
Intaneti TLD | .ir | ||||
Kodi ya simu | +98 |
Uajemi (kutokana na Kar. العجم- al-'ajam; pia: Iran - ايران) ni nchi ya Asia ya Magharibi. Imepakana na Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Iraq, Pakistan, Uturuki na Turkmenistan. Upande wa kusini kuna mwambao wa Ghuba ya Uajemi (Bahari Hindi) na upande wa kaskazini ni mwambao wa Bahari ya Kaspi.
Tehran ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini.
Uajemi imejulikana tangu miaka mingi sana kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu.
Iliwahi kuwa na dini zake za Uzoroasta na Umani. Tangu karne ya 4 BK idadi ya Wakristo ilikua. Tangu karne ya 7 Waarabu Waisamu walivamia Uajemi na kuifanya polepole kuwa nchi ya Kiislamu.
Katika karne ya 16 Uislamu wa Kishia ulisambazwa nchini. Utawala wa kifalme ulikwisha mwaka 1979 wakati wa mapinduzi ya Kiislamu chini ya uongozi wa Ayatollah Khomeini aliyeanzisha Jamhuri ya Kiislamu.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Uajemi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Uajemi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |