Falaki
From Wikipedia
Falaki ni elimu juu ya magimba kwenye ulimwengu kama vile nyota, sayari, miezi, vimondo, nyotamkia, galaksi kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa , n.k.
Falaki ni tofauti na unajimu ambayo si sayansi ya kisasa bali jaribio la kuona uhusiano kati ya nyota na tabia za wanadamu pia kutabiri mambo yajayo.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Falaki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Falaki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |