Bangla Desh
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Amar Shonar Bangla "Bengali yangu ya dhahabu" |
|||||
Mji mkuu | Dhaka |
||||
Mji mkubwa nchini | Dhaka | ||||
Lugha rasmi | Kibengali (Bangla) | ||||
Serikali | Jamhuri Iajuddin Ahmed (hakuna kwa sasa) Dr. Fakhruddin Ahmed |
||||
Uhuru Ilitangazwa Siku ya Ushindi |
26 Machi 1971 16 Desemba 1971 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
144,000 km² (ya 94) 7.0 |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
147,365,352 (ya 7) 129,247,233 998.6[1]/km² (ya 7) |
||||
Fedha | Taka (BDT ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
BDT (UTC+6) not observed (UTC+6) |
||||
Intaneti TLD | .bd | ||||
Kodi ya simu | +880 - SubCodes |
Bangla Desh ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Uhindi pande zote barani isipokuwa mpaka mfupi wa 193 km na Myanmar upande wa kusini-mashariki na pwani la Ghuba ya Bengali.
Bangla Desh ni sehemu ya mashariki ya Bengali ya kihistoria iliyotenganishwa na Uhindi wakati wa mgawanyiko wa Uhindi kwa sababu wakazi wake walikuwa Waislamu tofauti na Wabengali wengine Wahindu.
Bangla Desh ikawa sehemu ya Pakistan ikaitwa "Pakistan ya Mashariki" hadi 1971 ilipojitenga katika Vita ya Uhuru ya Bangla Desh kwa msaada wa India.
Sehemu kubwa ya nchi ni delta ya mito Ganga na Brahmaputra. Uso wa nchi ni tambarare na mita chache tu juu ya uwiano wa bahari. Hivyo wananchi huteseka mara nyingi na mafuriko makali.
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Cyprus2 | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Oman | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |