Montenegro
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Oj, svijetla majska zoro "Ewe pambazuko la Mei" |
|||||
Mji mkuu | Podgorica |
||||
Mji mkubwa nchini | Podgorica | ||||
Lugha rasmi | Kiserbia | ||||
Serikali | Jamhuri Filip Vujanović Željko Šturanović |
||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
3 Juni 2006 June 8, 2006 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
13,812 km² (ya 159) 1.5 |
||||
Idadi ya watu - 2004 kadirio - 2003 sensa - Msongamano wa watu |
630,548 (ya 164) 620,145 44.9/km² (ya 152) |
||||
Fedha | Euro2 (EUR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
Intaneti TLD | .yu (.me)3 | ||||
Kodi ya simu | +381(+382)4 |
||||
1 Kikatiba; Kialbania kieneo kwenye mji wa Ulcinj. 2 Montenegro si nchi mwanachama wa mkataba wa Euro. 3 .me itaanzishwa 2007 na .yu ni mabaki ya zamani za Yugoslavia [1]. 4 +382 ni namba mpya lakini haijatumika bado |
Montenegro (Kiserbia: Црна Гора au Crna Gora = mlima mweusi) ni nchi ndogo ya ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani. Ina pwani la Mediteranea ikipakana na Albania, Kroatia, Serbia na Masedonia.
Nchi ilipata uhuru wake baada ya kuachana na shirikisho la Serbia na Montenegro tar. 22 Mei 2006.
Montenegro iliwahi kuwa nchi ya kujitegemea kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Kati ya 1918 hadi 1992 ilikuwa sehemu ya Yugoslavia, kwanza kama eneo tu ndani ya ufalme wa Yugoslavia halafu kama jamhuri ndani ya shirikisho la Yugoslavia.
Nchi na maeneo ya Ulaya | |
---|---|
Albania | Andorra | Austria | Belarus | Bosnia na Herzegovina | Bulgaria | Kroatia | Denmark | Eire | Estonia | Ufaransa | Hungaria | Iceland | Italia | Jamhuri ya Masedonia | Latvia | Liechtenstein | Lithuania | Luxemburg | Malta | Moldova | Monako |Montenegro | Norway | Poland | Romania | San Marino | Serbia3 | Slovakia | Slovenia | Hispania | Ubelgiji | Uceki | Ufini | Ugiriki | Ujerumani | Uholanzi | Ureno | Urusi1 | Uswidi | Uswisi | Ukraine | Uingereza | Vatikani
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine: Visiwa vya Faroe | Gibraltar | Guernsey | Jan Mayen | Jersey | Isle of Man | Svalbard Nchi za Asia ambazo ni mwanachama wa baraza la Ulaya au vyombo vingine vya Ulaya: Armenia2 | Azerbaijan1 || Cyprus2 | Georgia1 | Kazakhstan1 | Uturuki1 Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa: Abkhazia | Nagorno-Karabakh2 | Ossetia ya Kusini | Transnistria | Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini2 Maelezo: (1) nchi ya kimabara katika Asia na Ulaya; (2) nchi katika eneo la Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya; (3) Inaelekea kugawiwa kuwa nchi mbili za Serbia na Montenegro |