Cabo Verde
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Unity, Work, Progress (Umoja, Kazi, Manedeleo) | |||||
Wimbo wa taifa: Cântico da Liberdade (Wimbo wa Uhuru) | |||||
Mji mkuu | Praia |
||||
Mji mkubwa nchini | Praia | ||||
Lugha rasmi | Kireno (official) na lugha 9 za krioli | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Pedro Pires José Maria Neves |
||||
Uhuru kutoka Ureno |
imetambuliwa 5 Julai, 1975 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
4,033 km² (ya 165) Kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
418,224 (ya 164) 401,343 101/km² (ya 71) |
||||
Fedha | Cape Verdean escudo (CVE ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-1) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .cv | ||||
Kodi ya simu | +238 |
Cabo Verde ni nchi ya visiwa katika Atlantiki mbele ya pwani la Afrika ya Magharibi. Umbali wake na Senegal ni 460 km. Eneo la visiwa vyake 15 ni 4033 km².
Mji mkuu ni Praia katika kisiwa cha Santiago.
Funguvisiwa yake ina visiwa 15 katika vikundi viwili:
- Visiwa "juu ya upepo" (Barlavento): Santo Antão, São Vicente, São Nicolau, Sal, Boa Vista na visiwa bila watu vya Santa Luzia, Branco und Razo.
- Visiwa "chini ya upepo" (Sotavento): Maio, Santiago, Fogo, Brava na visiwa bila watu vya Ilheus Secos ou do Rombo.
Miji mikubwa zaidi ni (namba za 2005): Praia (wakazi 113.364), Mindelo (wakazi 70.611), Santa Maria (wakazi 17.231), Pedra Badejo (wakazi 9.488) und São Filipe (wakazi 8.189).
Hadi kufika kwa Wareno funguvisiwa ya Cabo Verde haikuwa na watu. Wareno walianzisha mashamba ya miwa na kuleta watumwa kutoka bara la Afrika. Cabo Verde ilikuwa pia kituo muhimu cha biashara ya watumwa kati ya Afrika na Amerika. Wahamiaji kutoka Ulaya walikuwa pamoja na Wayahudi Wareno waliokataliwa kukaa kwao Ureno. Idadi kubwa ya wakazi ni chotara kati ya Waafrika na Wareno.
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |