Guinea
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Travail, Justice, Solidarité (Kifaransa: Kazi, Haki, Kushikamana) |
|||||
Wimbo wa taifa: Liberté (Uhuru) | |||||
Mji mkuu | Conakry |
||||
Mji mkubwa nchini | Conakry | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa (rasmi), Pulaar, Kissi, Kpelle, Kimaninka, Kisusu, Kitoma | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Lansana Conté |
||||
Uhuru kutoka Ufaransa |
2 Oktoba 1958 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
245,857 km² (ya 75) kidogo sana |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 1996 sensa - Msongamano wa watu |
9,402,000 (ya 83) 7,156,406 38.5/km² (ya 133) |
||||
Fedha | Guinean franc (GNF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC0) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gn | ||||
Kodi ya simu | +224 |
Guinea ni nchi katika Afrika ya Magharibi. Imepakana na Guinea-Bisau, Senegal na Mali upande wa kaskazini, Côte d'Ivoire, Liberia na Sierra Leone kusini halafu Bahari Atlantiki upande wa magharibi.
Eneo lake ni chanzo ya mito mikubwa ya Niger, Senegal na Gambia. Jina la "Guinea" liliwahi kutaja sehemu kubwa ya Afrika ya Magharibi kati ya jangwa Sahara na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya kiberber.
Contents |
[edit] Viungo vya nje
[edit] Serikali
- Permanent UN Mission of the Republic of Guinea official government site
[edit] Habari
[edit] Musiki
- Cora Connection West African music resources
[edit] Orodha
- Open Directory Project - Guinea directory category
- Stanford University - Africa South of the Sahara: Guinea directory category
- The Index on Africa - Guinea directory category
- University of Pennsylvania - African Studies Center: Guinea directory category
- Yahoo! - Guinea directory category
Makala hiyo kuhusu "Guinea" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Guinea kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |