Gambia
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Progress, Peace, Prosperity (Maendeleo, Amani, Utajiri) | |||||
Wimbo wa taifa: For The Gambia Our Homeland (Kwa Gambia nchi yetu) | |||||
Mji mkuu | Banjul |
||||
Mji mkubwa nchini | Serrekunda | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Yahya Jammeh |
||||
Uhuru Kutoka Uingereza |
18 Februari, 1965 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
10,380 km² (ya 158) 11.5 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
1,593,256 (ya 150) 153.5/km² (ya 52) |
||||
Fedha | Dalasi (GMD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .gm | ||||
Kodi ya simu | +220 |
Gambia (rasmi: Republic of The Gambia) ni nchi ndogo kabisa ya Afrika. Eneo lake limo ndani ya Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia. Kimsingi nchi yote ni kanda mbili za eneo kando la mto; urefu ni takriban 500 km, upana kati ya 10km na 50 km.
Nchi imepatikana kutokana na mavutano kati ya Uingereza na Ufaransa wakati wa ukoloni. Mwanzoni Uingereza ilitafuta tu njia ya maji kwa ajili ya biashara bila kujali utawala wa nchi. Mapatano kati ya Ufaransa na Uingereza baada ya vita ya Napoleon yaliimarisha hali hiyo. Wafaransa walichukua eneo lote kubwa la Senegal, na Waingereza lile kanda ndogo ndani ya Senegal.
Tangu uhuru wa nchi zote mbili palikuwa na mpango wa kuunganisha nchi zote mbili kwa njia ya shirikisho lakini Gambia ilitoka katika mapatano haya mwaka 1989.
[edit] Wakazi
Wakazi wa nchi ni hasa Wamandinka, halafu Waful na Wawolof, jumla milioni 1.6.
Makabila ya Gambia | |
asilimia | Kabila |
---|---|
42,3 % | Mandinka |
18,2 % | Fulbe |
15,7 % | Wolof |
9,5 % | Diola |
8,7 % | Serahuli |
2,1 % | Serer |
1,3 % | Manjago |
1,0 % | Aku |
0,4 % | Bambara |
0,9 % | wengine |
Namba za mwaka 1973 |
[edit] Historia ya Gambia
[edit] Uchumi wa Gambia
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |
Makala hiyo kuhusu "Gambia" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Gambia kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |