Sierra Leone
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Unity - Freedom - Justice (Umoja, Uhuru, Haki) | |||||
Wimbo wa taifa: High We Exalt Thee, Realm of the Free (Twakusifu nchi ya watu huru) | |||||
Mji mkuu | Freetown |
||||
Mji mkubwa nchini | Freetown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali
Rais
|
Jamhuri Ahmad Tejan Kabbah |
||||
Uhuru kutoka Uingereza |
Aprili 27, 1961 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
71,740 km² (ya 116) 1.0 |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
5,525,000 (ya 107 1) 5,426,618 83.7/km² (ya 86 1) |
||||
Fedha | Leone (SLL ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .sl | ||||
Kodi ya simu | +232 |
Sierra Leone ni nchi ya Afrika ya Magharibi. Imepakana na Guinea na Liberia, upande wa magharibi iko Atlantiki. Jina la nchi ni la asili ya Kireno na lamaanisha "Mlima wa Simba".
Sierra Leone ni kati ya nchi maskini sana duniani.
[edit] Historia
Nchi yenyewe ilianzishwa kwa kuunda mji wa Freetown ("Mji wa watu huru") mwaka 1787 na Waingereza. Kusudi lake likuwa kuwarudisha Afrika watu waliowahi kuwa watumwa. Kiasili wale wakazi wa kwanza walikuwa watumwa weusi waliopewa uhuru kwa sababu walishikamana na Waingereza dhidi ya Waamerika katika vita ya Uhuru wa Marekani. Baadaye Waingereza wapinzani wa utumwa walinunua watumwa wakiwapa uhuru na kuwapeleka Sierra Leone. Tangu 1807 Uingereza ilikataza biashara ya watumwa (lakini bado utumwa mwenyewe) na watumwa waliopatikana kwenye meli za biashara zilipelekwa Sierra Leone na kupewa uhuru.
Ikianzishwa na shirika la wapinzani wa utumwa Sierra Leone ikawa koloni ya kwanza ya Uingereza katika Afrika ya Magharibi mwaka 1792. Kuanzia 1802 Freetown ilikuwa makao makuu ya Kiingereza kwa Afrika ya Magharibi.
1961 Sierre Leone ilipewa uhuru wake. 1994 - 2002 nchi ilikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Tangu mwisho wake nchi inajengwa tena.
[edit] Viungo vya nje
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |