Visiwa vya Madeira
From Wikipedia
Região Autónoma da Madeira (Jimbo la kujitawala la Madeira) | |||
|
|||
Wito: Das ilhas as mais belas e livres (Visiwa maridadi na huru kuliko vyote) | |||
Nchi | Ureno | ||
Lugha | Kireno | ||
Mji mkuu | Funchal | ||
Miji mingine | Porto Santo, Machico, Santa Cruz, Câmara de Lobos, Santana, Caniço | ||
Eneo | 794 km² | ||
Urefu / upana hadi | 57 km/22 km | ||
Wakazi (2003) | 265.000 (5.000 Porto Santo), 2,5 % ya wakazi wote wa Ureno | ||
Idadi ya tarafa | 11 | ||
Mlima wa juu | Pico Ruivo (1.862 m) | ||
Rais wa serikali ya jimbo | Alberto João Jardim | ||
Jimbo la kujitegemea tangu | 1976 | ||
Saa za eneo | UTC | ||
Simu ya kimataifa | +351 291 | ||
Wimbo | A Portuguesa (kitaifa) Hino da Região Autónoma da Madeira (kijimbo) |
Madeira ni funguvisiwa ya kireno katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani la Afrika. Iko takriban 1000 km kusini ya Lisbon na 600 km magharibi ya Moroko. Jina la Madeira lamaanisha "ubao" kwa Kireno.
Kisiwa kikubwa kinaitwa Madeira vilevile. Karibu nacho ni kisiwa kidogo cha Porto Santo na visiwa vidogo visivyo na wakazi vya Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens.
Wakazi karibu wote ni wa asili ya Ureno na wakristo wakatoliki.
Mji mkuu ni Funchal. Madeira ina hali ya jimbo la kujitawala ndani ya Ureno.
[edit] Picha za Madeira
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |