Hisabati
From Wikipedia
Hisabati ni somo inayohusika na idadi, upimaji na ukubwa. Kwa ujumla ni somo inayohusika na miundo na vielezo.
Hisabati inatimiza somo mbalimbali, kama hesabu, jiometria na aljebra.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Hisabati" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Hisabati kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |