Jamhuri ya Afrika ya Kati
From Wikipedia
|
|||||
Hadabu ya Taifa Unité, Dignité, Travail (Kifaransa: Umoja, Heshima, Kazi |
|||||
![]() |
|||||
Lugha ya Taifa | Kifaransa | ||||
Mji Mkuu | Bangui | ||||
Mji Mkubwa | Bangui | ||||
Raise Waziri mkuu |
François Bozizé Elie Doté |
||||
Eneo - Jumla -Maji -Eneo ya kadiriwa |
622,984 km² 0% Kadiriwa 42 duni |
||||
Umma - Kadiriwa - Sensa, - Umma kugawa na Eneo (kilomita) |
3,683,538 Kadiriwa 124 duni sensa (2003) ; 5.8/km² ([[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| 15 duni]) |
||||
Chumo cha uchumi - Jumla - kwa kipimo cha umma |
$ 4.53 Billioni (156 ) kadir $ 1,107 172 duni |
||||
Uhuru - Kadirifu - Barabara |
Kutoka Ufaransa >Augosti 13, 1960 |
||||
Fedha | CFA frank (XFA) | ||||
Saa za Eneo | UTC +1 | ||||
Wimbo wa Taifa | Wimbo wa La Renaissance" (Sango Aina "E Zingo") | ||||
Intaneti TLD | .cf | ||||
kodi za simu | 236 |
Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kifaransa: République Centrafricaine /ʀepyblik sɑ̃tʀafʀikɛn/ ama Centrafrique /sɑ̃tʀafʀik/) ni nchi Bara bila pwani Kati ya afrika. Imepakana na Chadi kaskazini, Sudan mashariki, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa kusini na Kamerun upande wa Magharibi. Nchi hii, hasa ina shikilia eneo tapakaa Sudani-Guinea savanna, na pia jangwa la Sahara eneo ya kaskazini na eneo ya msitu wa ikwete kusini. Theluthi mbili za eneo ya nchi hii zimetapakaa kwa Mabia ya mto Ubangi unao tiririka kusini kwa Mto Kongo, na theluthi ya eneo katapakaa kwa mabia ya mto Shari, unao tiririka kusini kwa Ziwa Chadi. Kwa sababu ya Utapakazi wa eneo kwa mabia ya mto Ubangi na mto Shari, Wafaransa wakati wa ukoloni waliita nchi hii Ubangi-Shari, ama Oubangui-Chari kwa kifaransa. Ilipokua koloni ya Ufaransa, Ubangi-Shari ziliwekewa mamlaka ya madaraka kama eneo ya Jamii ya Wafaransa mwaka wa 1958 lakini baadaye kupata Uhuru Agosti 1960. Kwa miaka mlongo tatu kutioka Uhuru, ‘Jamhuri ya Afrika ya Kati’ ilitawalwa na serikali za nguvu zilizo nyakua mamlaka bila demokrasia, lakini mwaka wa 1993, Kura za Demokrasia za kwanza zilifanywa na kumchagua Ange-Félix Patassé kuwa Rais. Lakini Rais Patassé alipenduliwa na Jenerali François Bozizé mwaka wa 2003. Jenerali Bozizé alishinda kura za kidemokrasia manamo Mai 2005 na kuiongoza nchi mbaka wa sasa.
Contents |
[edit] Historia
Template:Tako
[edit] Historia ya Kale
[edit] Kuthahiri Afrika ya kati
[edit] Ukoloni wa Ufaransa
[edit] Uhuru
[edit] Siasa
Template:Tako Template:Siasa za Jamhuri ya Afrika ya Kati
[edit] Eneo
Tako la kifungu: Mikoa ya Jamhuri ya afrika ya kati
Jamhuri ya afrika ya kati imegawa kwa eneo 14, zinazoitwa (préfectures), na pia eneo mbili za uchumi (préfectures economique) na eneo moja yenye madaraka ya ujamaa commune. Na mikoa hii nayo imegawa zaidi kwa wilaya 71 zinazoitwa (sous-préfectures). mikoa ni: Bamingui-Bangoran, Basse-Kotto, Haute-Kotto, Haut-Mbomou, Kémo, Lobaye, Mambéré-Kadéï, Mbomou, Nana-Mambéré, Ombella-M'Poko, Ouaka, Ouham, Ouham-Pendé, na Vakaga; eneo za uchumi ni Nana-Grébizi na Sangha-Mbaéré; na eneo ya Ujamaa ni Bangui.
[edit] Jiografia
Template:Tako
[edit] Uchumi
Template:Tako
[edit] Watu
Template:Tako
[edit] Utamaduni
Template:Tako
ona pia:
- Orotha ya waadishi kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Music
- Siku kuu za Jamhuri ya Afrika ya Kati
[edit] Shauri kiwazowazo
- Mawasiliano ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Mambo ya Kigeni ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Jeshi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Usafirishaji, Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Orotha ya watu kwa stampu za Jamhuri ya Afrika ya Kati
- Fédération des Eclaireurs Scouts Centrafricains
[edit] Viungo vi nnje
Template:Zinazohusika
[edit] Habari
- allAfrica - Jamhuri ya Afrika ya Kati kiungo cha taarifa ya habari
[edit] uchambuzi
[edit] maelekezo
- Open Directory Project - Central African Republic directory category
- chuokikuu cha Stanford – Afrika kusini mwa sahara: Central African Republic directory category
- The Index on Africa - Jamhuri ya Afrika ya Kati directory category
- chuo kikuu cha Pennsylvania – Masomo ya afrikar: Jamhuri ya Afrika ya Kati maelekezo
- Yahoo! - Jamhuri ya Afrika ya Kati maelekezo
[edit] kabila na ukoo
- African Pygmies Utamaduni na muziki wa watu wa Jamhuri ya Afrika, picha na ulezaji wa ukoo.
[edit] Utalii
- Template:Wikisafiri
Nchi za Afrika | ![]() |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |